sema asanti kwa Mungu wangu
Nasema Asanti kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
Amina
(Verse)
Nit
aimba sifa zako mbele ya watu wote
Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
Amina
Oh Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
Amina
(Chorus)
Na
sema asanti kwa Mungu wangu
Nasema Asanti kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele
Amina (x4)